johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Amina mkuu!Tutubu
Atubu!!Tutubu
Hakuna asiye na dhambi hata wewe yakupasa kutubu!Atubu!!
Wewe ni mkuu wa nini?Yule mkuu wa mashetani utamkuta leo amepiga magoti kanisani kumsanifu MUNGU
Familia yangu yenye kumtukuza MUNGU wa mbinguni na siyo kumsanifu MUNGUWewe ni mkuu wa nini?
Toka Pepo, Toka PepoHakuna asiye na dhambi hata wewe yakupasa kutubu!
Yale maombi yao ya kishetani hajasaidia mkuu?Tumekuwa na Taifa la wapumbavu kila kona!Yaani badala ya kusema waziwazi kuwa tujikinge na Corona unafichaficha kuwa ni magonjwa sijui ya mlipuko ya kuambukiza!Ukweli mchungu ni kwamba hatuwezi kutatua matatizo yetu kwa kujidanganya kuwa hayapo.View attachment 1704307
Kwani kipindupindu kimeisha hapa duniani?Tumekuwa na Taifa la wapumbavu kila kona!Yaani badala ya kusema waziwazi kuwa tujikinge na Corona unafichaficha kuwa ni magonjwa sijui ya mlipuko ya kuambukiza!Ukweli mchungu ni kwamba hatuwezi kutatua matatizo yetu kwa kujidanganya kuwa hayapo.View attachment 1704307
Toa kwanza boriti!Toka Pepo, Toka Pepo
Mkuu,Tubu Uwe Msafi
Nimesema Mungu na siyo mungu!
Yasingesaidia wewe ungekuwa jehanam muda huu!Yale maombi yao ya kishetani hajasaidia mkuu?
Sawa huyo Mungu anakaa mbinguni kumbeNimesema Mungu na siyo mungu!
Acha upumbavu!Kwa sasa hivi changamoto kubwa tuliyo nayo ni huu ugonjwa wa Corona ambao unaua kila kukicha na tunapaswa kuelekeza nguvu zetu nyingi huko.Unataka tuelekeze nguvu nyingi kwenye kipindupindu amacho hakipo wakati Corona inaangamiza Taifa kwa sasa?Unafikiri kwa kutumia akili za wapi?Unadhani kuwa tutaishinda Corona kwa kujidanganya kuwa haipo?Kwa nini mnakuwa na akili ndogo kama watoto wadogo waliovaa pampasi?Kwani kipindupindu kimeisha hapa duniani?
Acha kukurupuka.
Mungu wa mbinguni akubariki hapo hapo stendi!
Maombi yaongozwe na shetani alafu MUNGU ayapokee? thubutuYasingesaidia wewe ungekuwa jehanam muda huu!