tete'a'tete
JF-Expert Member
- Feb 10, 2010
- 472
- 64
Wengine saa hizi wanapata kabia kabariiiiidi na mishikaki/nyama choma, wengine soda ya baridi na chipsi kuku/mayai,wengine wali maharage/nyama na wengine loo mihogo na maji ya bariiidi, wengine wanapiga deshi eti wanafanya diet. Jamani hayo yote ni maisha, nawatakieni lunch njema wote....