Nawatakia Lunch Njema...

tete'a'tete

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2010
Posts
472
Reaction score
64
Wengine saa hizi wanapata kabia kabariiiiidi na mishikaki/nyama choma, wengine soda ya baridi na chipsi kuku/mayai,wengine wali maharage/nyama na wengine loo mihogo na maji ya bariiidi, wengine wanapiga deshi eti wanafanya diet. Jamani hayo yote ni maisha, nawatakieni lunch njema wote....
 
Nilipo ni asubuhi 06:20 am ...ama una maana breakfast?
 
Mi ndo naamka saa hizi. Lunch itakuwaje hapo?
 
na hapa dar tandale kwa mtogole,ndio kwanza ile chai na ubwabwa wa jana bado ipo tumboni mambo ya kula ni mpaka jiooooni?
 
wengine tunakandamiza ugali na matembele ( Togwa) pembeni mchana wa leo karibuni sana itakapofika saa saba kamili kwa saa za africa mashariki na kati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…