Nawatakia maandalizi mema ya pasaka

Nawatakia maandalizi mema ya pasaka

Mary Chuwa

Senior Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
177
Reaction score
40
Kipindi cha Kwaresima kinakaribia kufika ukingoni.
Nawatakia maandalizi mema ya Pasaka,Yesu anapofufuka,akafufuke katika uchumi wa familia zenu,mahusiano mema ya familia zenu,na Upendo uliokwisha poa na kufa nao ukawe na Uhai Mpya.
Afya njema katika familia zenu

Pasaka hii watu muwe karibu na familia na jamaa zenu na siyo kuitumia kuwasaliti wengine.

yale mema mliyokuwa mnayafanya wakati wa Kwaresima basi yakawe Mwendelezo katika maisha Yenu.

Kila la kheri Wapendwa katika Maandalizi ya Ufufuko wa Yesu
 
Niaminicho mimi ni hiki, Yesu alishafufuka miaka 2000 iliyopita, na sasa amekaa mkono wa kuume wa Mungu baba naye ananiandalia mimi makao ili alipo yeye nami niwepo.

Nashukuru kwa salamu za Pasaka!!!
 
Asante sana, na wewe zingatia hao uliyotueleza ukayafanyie kazi.
Kipindi cha Kwaresima kinakaribia kufika ukingoni.
Nawatakia maandalizi mema ya Pasaka,Yesu anapofufuka,akafufuke katika uchumi wa familia zenu,mahusiano mema ya familia zenu,na Upendo uliokwisha poa na kufa nao ukawe na Uhai Mpya.
Afya njema katika familia zenu

Pasaka hii watu muwe karibu na familia na jamaa zenu na siyo kuitumia kuwasaliti wengine.

yale mema mliyokuwa mnayafanya wakati wa Kwaresima basi yakawe Mwendelezo katika maisha Yenu.

Kila la kheri Wapendwa katika Maandalizi ya Ufufuko wa Yesu
 
Karibu sana Husniyo.

Kuhusu Kufufuka kweli kafufuka ila kwa Imani Ufufuko wake ,unaendelea hata sasa katika mambo mengi tu,ndani na nje ya maisha yetu
 
Asante mkuu,nitakuja na Husninyo tushiriki pamoja. Nakutakia pasaka njema
 
😛oa

Amen to that.
na wewe pia uzingatie hayo ulotuambia
 
Thanx dear stay blessed.:angel::angel:afufuke kweli kweli mioyoni mwetu.Ameen
 
Kipindi cha Kwaresima kinakaribia kufika ukingoni.
Nawatakia maandalizi mema ya Pasaka,Yesu anapofufuka,akafufuke katika uchumi wa familia zenu,mahusiano mema ya familia zenu,na Upendo uliokwisha poa na kufa nao ukawe na Uhai Mpya.
Afya njema katika familia zenu

Pasaka hii watu muwe karibu na familia na jamaa zenu na siyo kuitumia kuwasaliti wengine.

yale mema mliyokuwa mnayafanya wakati wa Kwaresima basi yakawe Mwendelezo katika maisha Yenu.

Kila la kheri Wapendwa katika Maandalizi ya Ufufuko wa Yesu

Naomba unifundishe kusali baba Yetu
 
Sawa Fidel80,funga macho na ufuatishe sala hii,
Baba Yetu Uliye Mbinguni
Jina Lako Litukuzwe
Ufalme Wako Ufike
Utakalo Lifanyike
Duniani Kama Mbinguni
Utupe Leo Mkate Wetu wa Kila Siku
Utusamehe Makosa Yetu
Kama Tunavyowasamehe na sisi waliotukosea...........................

Samahani Fidel80 fungua macho kwanza hapa unapoomba msamaha kwa Mungu hakikisha umewasamehe kweli waliokukosea

Haya tuanze tena
 
Wit Mkuu wangu karibu sana je unapenda pilipili katika maakuli?
 
Sweetdada aksante nami nitayazingatia niliyosema isije kuwa napiga mbio halafu..............................
 
Sawa Fidel80,funga macho na ufuatishe sala hii,
Baba Yetu Uliye Mbinguni
Jina Lako Litukuzwe
Ufalme Wako Ufike
Utakalo Lifanyike
Duniani Kama Mbinguni
Utupe Leo Mkate Wetu wa Kila Siku
Utusamehe Makosa Yetu
Kama Tunavyowasamehe na sisi waliotukosea...........................

Samahani Fidel80 fungua macho kwanza hapa unapoomba msamaha kwa Mungu hakikisha umewasamehe kweli waliokukosea

Haya tuanze tena
Usitutie katika vishawishi lakini utuokoe maovuni. Amina. Mary uwe na Pasaka njema na wewe
 
Kwa sasa tunafanya kumbukumbu ya kifo na mateso ya yesu..

Asante sana Mary uwe na sikukuu njema pia
 
Thanks Mary Chuwa,

Nawe pia uwe na sikukuu njema, be blessed.
 
Usitutie katika vishawishi lakini utuokoe maovuni. Amina. Mary uwe na Pasaka njema na wewe

............Kwa kuwa ufalme ni wako na nguvu na utukufu hata milele Amina.

Sunday School gani ulienda binamu, sore ofu topiki.
 
Back
Top Bottom