Nawatakia maandalizi mema ya Sabato

Nawatakia maandalizi mema ya Sabato

Joined
Oct 2, 2024
Posts
34
Reaction score
47
Napenda kuwatakia Maandalizi Mema ya Sabato ya Bwana.
Sabato haikomei kuwa maalumu kwa wanadamu tu bali na kwa wale wafanyao kazi. Siku 6 fanya kazi zako.

Ikiwa hufanyi kazi bila Sababu yoyote iliyo nje na uwezo wako, basi sabato haikuhusu.
 
Kwa hio kesho hamtapika chakula mpaka usiku ?

mtashindia viporo vya IJUMAA?
 
Happy Sabbath school mkuu

Basi imesalia raha ya Sabato kwa watu wa Mungu, ikiwa wewe ni mtu wa Mungu ni lazima uitunze na kuiheshimu sabato
 
Happy Sabbath school mkuu

Basi imesalia raha ya Sabato kwa watu wa Mungu, ikiwa wewe ni mtu wa Mungu ni lazima uitunze na kuiheshimu sabato
Isaya 8:20 Na waende kwa sheria na ushuhuda; ikiwa hawasemi sawasawa na neno hili, bila shaka kwa hao hapana asubuhi.
 
Napenda kuwatakia Maandalizi Mema ya Sabato ya Bwana.
Sabato haikomei kuwa maalumu kwa wanadamu tu bali na kwa wale wafanyao kazi. Siku 6 fanya kazi zako.

Ikiwa hufanyi kazi bila Sababu yoyote iliyo nje na uwezo wako, basi sabato haikuhusu.
So kesho Wasabato hampiki chakula,hamli wala hamnjunji? Au nini maana ya "usifanye kazi"?
 
Back
Top Bottom