Aare Maduhu Kopano
Member
- Oct 2, 2024
- 34
- 47
Tutapika. na isitoshe hakuna zuio la kufanya hivyo.Kwa hio kesho hamtapika chakula mpaka usiku ?
mtashindia viporo vya IJUMAA?
Isaya 8:20 Na waende kwa sheria na ushuhuda; ikiwa hawasemi sawasawa na neno hili, bila shaka kwa hao hapana asubuhi.Happy Sabbath school mkuu
Basi imesalia raha ya Sabato kwa watu wa Mungu, ikiwa wewe ni mtu wa Mungu ni lazima uitunze na kuiheshimu sabato
Kupika sio kazi?Tutapika. na isitoshe hakuna zuio la kufanya hivyo.
So kesho Wasabato hampiki chakula,hamli wala hamnjunji? Au nini maana ya "usifanye kazi"?Napenda kuwatakia Maandalizi Mema ya Sabato ya Bwana.
Sabato haikomei kuwa maalumu kwa wanadamu tu bali na kwa wale wafanyao kazi. Siku 6 fanya kazi zako.
Ikiwa hufanyi kazi bila Sababu yoyote iliyo nje na uwezo wako, basi sabato haikuhusu.
ni Sabato(siku)ya Bwana, inafanyika kazi ya Bwana tu...So kesho Wasabato hampiki chakula,hamli wala hamnjunji? Au nini maana ya "usifanye kazi"?
hatupiki chakula cha kuuza tupate pesa,chakula ni moja ya ibada.Kupika sio kazi?