Amen Babu DC. Nami nakutakia amani,raha na furaha
Amina babu DC,,ntazingatia wosia wako.Uwe na sikukuu ya baraka wewe na wote wanaokuzunguka.
Ubarikiwe mpaka ushangae
Inshallah iwe hivyo na kwako pia. Salimia familia.
nashindwa kujizuia ila naomba kuwashukuru sana nyote mlionitumia salama hapa na hata wale wambao wamenitumia kimya kimya kwa sababu ya upendo uliojaa mioyoni mwao.
I wish to let you all know that i have been exceptionally and sincerely touched by your lovely messages.
Mungu awabariki sana.
Babu dc.
Nashindwa kujizuia ila naomba kuwashukuru sana nyote mlionitumia salama hapa na hata wale wambao wamenitumia kimya kimya kwa sababu ya upendo uliojaa mioyoni mwao.
I wish to let you all know that I have been exceptionally and sincerely touched by your lovely messages.
Mungu awabariki sana.
Babu DC.
Kwa niaba ya familia yangu napenda kukutakia raha, furaha, amani na upendo wewe na familia yako mungu akubariki sana usherehekee vyema na uweze kutimiza malengo yako uliyopanga. Sikukuu njema na urudi salama mwakani. Hapo kwenye red umesahau nimeonyesha msisitizo
Ubarikiwe sana bro D.C tupo pamoja.
Kuelekea sikukuu wengine tumeamua kujipa likizo ya unywaji kuwapisha wanao kunywa kwa fujo siku za sikukuu sisi tutakuwa kama ambulance kuwabeba na kuwawaisha hospitali.