Nawatakia siku kuu njema...lakini kumbuka vitu vitatu muhimu!!!

Amina, ila ujumbe huu ungekuwa special kwa wanaume mabazazi ambao sherehe hizo huzitumia kikamilifu kuimarisha nyumba ndogo na kufanya mambo hayo matatu kuparaganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…