Nawatakia sikukuu njema wana JamiiForums

Nawatakia sikukuu njema wana JamiiForums

Kikusya

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2011
Posts
274
Reaction score
380
Heri ya Chrismas na mwaka mpya wapendwa wote na Watanzania kwa ujumla.
Tumuombe Mungu wetu atujalie upendo na amani katika kipindi hiki cha sikukuu.

Ujumbe: Chombo cha moto na pombe ni mauti. Tuepuke ulevi kama utaendesha vyombo hivi.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom