cheusimangala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,585
- 498
You too Cheusimangala you have a great one nimepata mwaliko naenda kwenye jumba la kaka mkubwa kwenye engagement party ya kijana wetu usikose ku tune DSTV jumamosi kuanzia saa moja usiku.
Nimewasiliana na Rev Masanilo ndio atafungisha ndoa pia na CD anayo tayari ila huyu Rev Masanilo mambo yake ndiyo yananipa wasiwasi nafikiria nimteme kwenye hiyo safari achelewi kufika huko na kuanza kudemand mambo yake
Nimewasiliana na Rev Masanilo ndio atafungisha ndoa pia na CD anayo tayari ila huyu Rev Masanilo mambo yake ndiyo yananipa wasiwasi nafikiria nimteme kwenye hiyo safari achelewi kufika huko na kuanza kudemand mambo yake
Ukimtema nani atafungisha ndoa ama umeongea na Askofu amekubali ndio maana wataka kumtema Rev Masanilo?
ni vizuri kama yeye ndo atafungisha hiyo ndoa coz nasikia ndoa zote alizofungisha mchungaji masanilo hazijawahi kuvunjika wala kuyumba!
@bold,hilo ndo tatizo la mchungaji masa anadai eti watumishi hulia madhabahuni!
Ngoja nitazungumza na Askofu kwa ushauri zaidi nitaenda kumuona kule Mbagala Spiritual Centre kabla sijaondoka
tatizo la askofu hafungishi ndoa mpaka itangazwe miezi 4 na kupima ukimwi ni lazima wkt Rev. masa yeye hana hayo,yaani akishawauliza kama mnapenda mkajibu wote ndio, anafungisha ndoa then anasema you may kiss the bride!
Mimi hukataa mawazo, na wala siwezi kumkataa mtu. Huwezi kujua ni lini mtu ambaye kila siku anakuja na mawazo mabaya atakuja na wazo zuri, wala lini mtu ambaye kila siku anakuja na mawazo mazuri atakuja na wazo baya.