C chetuntu R I P Joined Jan 10, 2011 Posts 949 Reaction score 111 Feb 4, 2011 #1 Wapendwa wanaJF jamvi la MMU nawatakia wkeend njema, kwa wenye kugonjwa wapone haraka, wenye matatizo mbalimbali Mungu awasaidie na wazima awazidishie heri. Ntakuwa safarini Kazuramimba. Merci Mingi.
Wapendwa wanaJF jamvi la MMU nawatakia wkeend njema, kwa wenye kugonjwa wapone haraka, wenye matatizo mbalimbali Mungu awasaidie na wazima awazidishie heri. Ntakuwa safarini Kazuramimba. Merci Mingi.