Habari zenu binafsi wapendwa, kaka,dada, baba,mama,babu/bibi.
Hongereni kwa kumaliza weekend salama, natumaini ilikuwa nzuri, hata kwa wale ambao haikuwa nzuri kama walivyotarajia poleni ila la msingi tunamshukuru Mungu kwa sababu bado uzima upo.
Nawapongeza wale wote waliopata nafasi ya kushiriki mlo na familia zao, wale waliolewa kupita kiasi weekend ijayo mpunguze, wale waliotongoza wengine kwa dharau muache, wale waliotakiwa kwenda kanisani halafu hawekwenda mbadilike. Wale waliogongwa poleni, wale wanaopenda sana pepsi/coca mpunguze ikiwezekana pata mvinyo kidogo tu kwa afya.
Haya nawatikieni furaha, amani, na nguvu za kufanya kazi wiki nzima hii. Malengo yenu yatimie na yafanikiwe kwa kiwango cha juu.
MBARIKIWE.
NJOO UFANYIWE MAOMBI....!leo tutakuwa africana pub...!NJOOO NJOOO NJOOO NJOOOOO NJOOO UFANYIWE MAOMBIIIII
hahaha Mshiki karibu Usalule, Say No to Chasaka...lol:A S-fire1:Amen Msasha, lakini weekend ijayo itabidi nije kukutembelea, haiwezekani kaka kujificha huko kiasi hicho, mwisho utuletee chasaka bureeee!!
Karibu sana my dear, uko mzima kabisa ee!
Thanks LD kwa kweli weekend ilikuwa a blast kwa upande wangu due to the following:-
Baba mwenye nyumba aliwahi kurudi nyumbani kucheza na junior mshangao kubwa
Hakuwa amelewa
Alishiriki dinner na familia
Alienda kanisani jana for the first time this year - asante Mungu
Leo asubuhi amempeleka junior shuleni
Teamo nashukuru kwa ile thread yako nafikiri aliisoma hapa nina kazi ya ziada kutafuta ID yake.
Changes are there to be made hureeeeeeeeeeee 2011
Nyumba ndogo ilisafiri, hivyo sikuwa na option..
mzima lakini kaka, kikubwa nashukuru kwa sababu una uzima na afya.