heri yako.Mkandala kabebesha watu 103.Da pole yao ndo maisha hayo.
Mi nimefanya mtihani wangu wa kwanza leo.Da ulikuwa mzuri sana.
Vipi wenzangu?
Leo undergraduates wote tunategemea kuanza mitihani ya kumalizia muhula wa kwanza. Wanajf nawaombeni mtukumbuke kwa maombi.Mwisho nawatakieni wenzangu wote mitihani miema japo 2nafanya kwa huzuni bila wenzetu waliofukuzwa kwa kutetea haki ya watanzania.
AHSANTENI.
mhh 2fanyaje sasa, manake kwa hali ilipofikia huwezi kuibuka peke yako.Nawe utaondoka.
Issue sio how many are backing you!Hapa ni kusimamia ukweli na haki.Sasa nyie kama mnashindwa kuwatetea wasomi wenzenu je mtaweza kututetea sisi wanyonge dhidi ya dhuruma ya wenye madaraka na mamlaka?Naona ata kodi yetu mnakula bure kupitia HESLB.