Nawategemea kwa msaada wa mawazo

Nelson noah

Member
Joined
Feb 8, 2013
Posts
10
Reaction score
0
Nina 4 ya 27 math f nina penda kusoma DIT sijukama maksi yangu inafaa kama inafaa naombeni nichagulieni coz pamoja na kunijulisha gharama ili niangalie uchumi wangu naombeni nisaidieni?
 
Angalia sehemu nyingine kwa hiyo result yako huwezi kusoma Dit.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…