Nawauliza cecafa dola laki mbili toka fifa zipo wapi

Nawauliza cecafa dola laki mbili toka fifa zipo wapi

mansoorsaid

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2014
Posts
1,498
Reaction score
286
kuna habari kuwa cecafa hupata dola laki mbili kila mwaka kutoka fifa pesa hizo zipo wapi hatuoni mashindano ya vijana na hata hayo mashindano ya kagame cup nchi inayoandaa mashindano hutafuta wadhamini na ndio maana musonye ameing'ang'ania cecafa kama ruba na wadau hawahoji uhalali wa hizo hela kutoka fifa
 
Jamal Malinzi kuna swali hapa mansoorsaid anauliza.. Japo wewe si kiongozi wa TFF najua utakua una majibu, mana u mjumbe.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom