kuna habari kuwa cecafa hupata dola laki mbili kila mwaka kutoka fifa pesa hizo zipo wapi hatuoni mashindano ya vijana na hata hayo mashindano ya kagame cup nchi inayoandaa mashindano hutafuta wadhamini na ndio maana musonye ameing'ang'ania cecafa kama ruba na wadau hawahoji uhalali wa hizo hela kutoka fifa