Nawauliza nyinyi mnaojiita wachezaji wa zamani

wakimataifa

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
942
Reaction score
168
kwa wale wachezaji mpira wa miguu mnaojiita wachezaji wa zamani kujifanya mlifanya vizuri kwa lipi.
mlilifikisha wapi taifa lenu sioni na sijasikia kwamba mlifika hata fainali kombe la afcon.
sana tu mlicheza kwa bidii bila mafanikio
 
​njaa u inawasumbua hawa wanataka viingilio vyetu wakavutie bangi huko
 
Hata ktk maisha na siasa kwa ujumla...oh Tanzania ulikuwa jamani...elimu ulikuwa jamani...ni shida tupu
 
kwa wale wachezaji mpira wa miguu mnaojiita wachezaji wa zamani kujifanya mlifanya vizuri kwa lipi.
mlilifikisha wapi taifa lenu sioni na sijasikia kwamba mlifika hata fainali kombe la afcon.
sana tu mlicheza kwa bidii bila mafanikio

hawa wa sasa wananini?
 
napoangalia wachambuzi wa soka katika nchi nyingine ni wale wachezaji wa zamani ambao walipata mafanikio kitaifa na kimataifa lakini hawa wenzetu hamna kitu wamebaki kudai mpira uongozwe na wachezaji wa zamani wakati wengi wao ama hawakujiendeleza kielimu au wanafikiri mpira unaongozwa kimazoea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…