Nawauliza viongozi wa Dini wanaionaje TBC kama Sauti ya Taifa letu?

Nawauliza viongozi wa Dini wanaionaje TBC kama Sauti ya Taifa letu?

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Kwa unyenyekevu mkubwa na hofu ya Mungu naomba niwaulize viongozi wa Dini zote Tanzania je? Wanalionaje Shirika la Utangazaji la Taifa TBC katika utendaji wake?
 
Mods nawaomba Sana msi merge huu Uzi kwasababu sio wa kisiasa hivyo usiunganishwe na nyuzi za kisiasa zinazoihusisha TBC Kama sauti ya taifa.
 
Nimewauliza viongozi wa dini ili nipate maoni Yao ya haki yasiyoegemea upande wowote.
 
Najua viongozi wa dini mnasoma jamiiforums nawaomba Sana kwa unyenyekevu mkuu mtoe maoni yenu juu ya shirika letu la utangazaji la taifa. Naandika uzi huu nikitokwa na machozi ndio maana nimekuja kwenu ili angalau nipate rationality ya nikiwazacho.
 
Back
Top Bottom