Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Sheria inawaruhusu! Lakini unaweza kukataa kuwa nipeleke mahakamani! You have that right!Haya yanayotendwa na Askari wa usalama wa barabarani , kukamata na kuhukumu na kisha kuwaandikia faini " wahalifu " wa makosa ya barabarani yana uhalali wowote ?
Maana sasa ni dhahiri kwamba askari wamekuwa mahakimu na pia ni watoza ushuru wa kutegemewa ,
Hatimaye sasa Kumiliki gari ndani ya Tanzani kumegeuka kuwa laana .
Naomba wanasheria wanisaidie kama hukumu kama hizi zaweza kutolewa popote na yeyote bila kuhusisha Waheshimiwa Mahakimu .
Asante mkuu .Sheria inawaruhusu! Lakini unaweza kukataa kuwa nipeleke mahakamani! You have that right!
Ni wanyama, ndio maana nilikataa kwenda upolisi kwa matendo niliyokuwa nayaona wanawatendea watu in the late 70s!its tooooo much
Mkuu , shikamoo !Ni wanyama, ndio maana nilikataa kwenda upolisi kwa matendo niliyokuwa nayaona wanawatendea watu in the late 70s!
Siku hizi awaulizi wao ni hukumu tuu! Unslipishwa wanakata list moja kwa moja eti usipo lipa inaongezeka kimyakimya why?? Mbona hatupewi option ya mahakamani??Kuna makosa zaidi ya 35 katika sheria ya usalama barabarani.
Je kwa mwendesha gari unaweza kuyakwepa yote hayo??
Sheria inawapa mamlaka kukulipisha ila unaweza kukata pia na ukapelekwa mahakani
Nn kimepungua sasa!!Ni wanyama, ndio maana nilikataa kwenda upolisi kwa matendo niliyokuwa nayaona wanawatendea watu in the late 70s!
Inategemea kama na wewe unaijua hiyo sheria inakutaka kama ni dereva wajibu wako ni UPI,kuhusu gari liweje na taratibu za barabarani zikoje na he unazifuata.Siku hizi awaulizi wao ni hukumu tuu! Unslipishwa wanakata list moja kwa moja eti usipo lipa inaongezeka kimyakimya why?? Mbona hatupewi option ya mahakamani??