Tatizo wachezaji wenyewe hawajitambui, tamaa ya pesa ndio kiupambele chao bila kutazama mustakabali mzima wa hatma yake kama ataweza kupata namba ya kudumu, mfano kichuya heri angeenda hata mtibwa au namungo, yaani atasugua benchi hapo mwaka mzima, ajibu ni wehu tu unaacha kwenda TP Mazembe unakuja simba sasa anacheza singeli tu, akipata bahati ya kucheza ni dk10-30 basi. hana mpira wa kasi ni kucheza na jukwaa.