Minjingu Jingu JF-Expert Member Joined Nov 2, 2023 Posts 1,072 Reaction score 2,384 Jan 23, 2025 #1 Uje wekwa mdahalo wa Lissu Simba na Mama Abdul tupime IQ zao. Nani ana uelewa. Kisha baada ya hapo tuamue tu nani anafaa bila kutumia gharama kubwa kwenye uchaguzi.
Uje wekwa mdahalo wa Lissu Simba na Mama Abdul tupime IQ zao. Nani ana uelewa. Kisha baada ya hapo tuamue tu nani anafaa bila kutumia gharama kubwa kwenye uchaguzi.
rushanju JF-Expert Member Joined Nov 3, 2011 Posts 3,238 Reaction score 5,106 Jan 23, 2025 #2 Kwa CCM hii!!! Mambo ya midahalo au democrasia sahau kabisa.