Nawaza jinsi Bashite anavyotamani kuhusu bifu la N/korea na USA lifikie hapa

mtotomtamuu

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2016
Posts
602
Reaction score
1,459
Mhhhh

Jamaa hapo alipo kwa jinsi alivyokuwa na Hasira na yule dada yaani hapo alipo hata saivi anatamani mr kipanki mda wowote arudhe kombora moja litue Los Angeles pale

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Anatamani issue ya kuondoa attention ya serikali kwenye vyeti...kama IPO !!!
 
Apumzike kusemwa sio
 
Yaani anawaza mr kiduku bom lake litue kwa kimamb sio? ha ha atasubili sana
 
[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Anafukuzia Phd ya Ubashite.

Maana hiyo ni future impossible tense
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…