Nawaza: Kuna uwezekano kaburi la ivan kufukuliwa na wajanja wajichukulie hayo mapesa?

Mtarban

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
3,858
Reaction score
5,101
kama mnavyofahamu waafrika, sina uhakika kama kaburi litaachwa bila kuvunjwa au kufukuliwa, labda kama limewekewa ulinzi Wa halo ya juu
 
Vipi tukuchangie nauli uende ukavunje?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…