Daah! Hii katiba hii.Hayo mbona madogo. Hata akiamrisha watu wa mkoa flani wote wauwawe kisha mkoa huo tuufanye hifadhi ya mafuvu ya taifa linawezekana
System yenyewe ni corrupt ndugu. Wengi wanaangalia maslahi ya matumbo na familia zaoSystem haiwezi muacha salama...
Ndiyo Ukweli WenyeweWatanzania wengi wanasherekea Uhuru wasiokua nao.
System yenyewe ni corrupt ndugu. Wengi wanaangalia maslahi ya matumbo na familia zao
Kwani atatawala mileleNdiyo! Hakuna la kumfanya, kwasabb katiba imesema rais hashitakiwi kwa jambo lolote.
Na ushauri yeye ndiye anaamua aupokee ama aukatae.
Kwa katiba hii atakuja kutokea rais ambaye ataamua:-
1. Kuzipiga marufuku na kuzifuta kabisa sherehe za Uhuru.
2. Kuulipua kwa mabomu na kuusabaza kabisa mlima kilinajaro .
3. Kuwauza na kuwaondoa kabisa wanyama toka hifadhi ya Serengeti na kugawa viwanja vya makazi.
4. Kubeba wanyama kwenda Unguja na waunguja wote kuwahamishia hifadhi ya Mikumi.
Kwa katiba yetu hii mtamfanya nini rais kama huyu?
Jamani katiba hii tuibadilishe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hayo mbona madogo. Hata akiamrisha watu wa mkoa flani wote wauwawe kisha mkoa huo tuufanye hifadhi ya mafuvu ya taifa linawezekana