Ana mapungufu yake japo ni machache, ila ana Faida zake nyingi hasa Kiufundi na ni Kocha Juha tu pekee ndiyo ataacha Kumtumia.Nawaza sana John Bocco anachezeshwa Simba na kuitwa Taifa stars kwa kiwango kipi?
John Bocco huyu wa sasa ambaye hata kutuliza mpira imekua kazi kwake...
Anacheza vizuri sana mechi za mikoani kwenye viwanja vibovu. Dar kuna changamoto kidogo kwakeAna mapungufu yake japo ni machache, ila ana Faida zake nyingi hasa Kiufundi na ni Kocha Juha tu pekee ndiyo ataacha Kumtumia.
Halafu mwisho wa Siku Watanzania tujufunze Kuheshimu Maamuzi ya hawa Makocha au vinginevyo basi na Sisi tukasomee Ukocha.
So what are you actually trying to justify here?Anacheza vizuri sana mechi za mikoani kwenye viwanja vibovu. Dar kuna changamoto kidogo kwake
Yes he still have something to contribute to Simba Sports Club as a local player.So what are you actually trying to justify here?
Noted.Yes he still have something to contribute to Simba Sports Club as a local player.
Point of Correction: Kumbuka wachezaji uwanjani wako 11 na sio 10 kama unvyotaka kutuaminisha. Please be informed accordingly.Nawaza sana John Bocco anachezeshwa Simba na kuitwa Taifa stars kwa kiwango kipi?
John Bocco huyu wa sasa ambaye hata kutuliza mpira imekua kazi kwake.
John Bocco huyu kupiga shuti kwake ni changamoto sana afu unategemea akufungie magoli?
John Bocco huyu anamuwekaje benchi Reliant Lusajo au Meddie Kagere? Yaani timu ikiwa inacheza na mmeanza na John Bocco mnakua kama mmeanza 9 uwanjani badala ya 10.
NB: Tukipunguza ushikaji na kujuana kwenye mambo muhimu tutafika mbali sana mfano mwingine pale Simba kuna namba 6 yupi wa kumuweka benchi JONAS MKUDE?
View attachment 1995589
Utakuta huyu mkosoaji hata kupiga danadana hawezi.Ana mapungufu yake japo ni machache, ila ana Faida zake nyingi hasa Kiufundi na ni Kocha Juha tu pekee ndiyo ataacha Kumtumia.
Halafu mwisho wa Siku Watanzania tujifunze Kuheshimu Maamuzi ya hawa Makocha au vinginevyo basi na Sisi tukasomee Ukocha.
Jibu ni hakuna mchezaji namba sita anayemshinda Nungunungu. Huyo Lwanga ni mirafu tu muda wote.Nawaza sana John Bocco anachezeshwa Simba na kuitwa Taifa stars kwa kiwango kipi?
John Bocco huyu wa sasa ambaye hata kutuliza mpira imekua kazi kwake.
John Bocco huyu kupiga shuti kwake ni changamoto sana afu unategemea akufungie magoli?
John Bocco huyu anamuwekaje benchi Reliant Lusajo au Meddie Kagere? Yaani timu ikiwa inacheza na mmeanza na John Bocco mnakua kama mmeanza 9 uwanjani badala ya 10.
NB: Tukipunguza ushikaji na kujuana kwenye mambo muhimu tutafika mbali sana mfano mwingine pale Simba kuna namba 6 yupi wa kumuweka benchi JONAS MKUDE?
View attachment 1995589
Na wengi wao ndiyo huwa wako hivyo.Utakuta huyu mkosoaji hata kupiga danadana hawezi.
Hizo records ilibebeshwa na kina Chama. Afunge magoli 16 msimu huu tuone.top scorer
MVP
kama kapendelewa utajua mwenyewe ila rekodi zinambeba
chama kaja juzi tuHizo records ilibebeshwa na kina Chama. Afunge magoli 16 msimu huu tuone.
Boko alianza kufunga toka Azam huko, sijui Chama alikuwepo.Simba hakuna strikers, wote walikuwa wanabebwa na ubora wa Chama, mwamba wa Lusaka aliisadia Simba kutengeneza nafasi nyingi sana hata angekuwa Sarpong angewika, tulilalamika wakati wa dirisha la usajili walete striker wa ukweli tukaonekani ni haters, acha tufunzwe tu kwa sasa.
Wengine watakuja kusema Mugalu ana ahueni, Mugalu alikuwa anakosa magoli mengi ya wazi tena katika mechi kubwa za CAF, kuna tatizo la usajili Simba.
Boko ameshapoteza makali, vivyo hivyo kwa Kagere, wakati Mugalu anahitaji nafasi zaidi ya nne za wazi kufunga goli moja. Hawa wote wanatakiwa kuondoka Simba ilete strikers wengine wa maana. Bila assist za upendo za Chama hao wote last wasingewika maana uwezo wao ulikuwa umeshashuka tayari.Boko alianza kufunga toka Azam huko, sijui Chama alikuwepo.