Nawaza sana, John Bocco anachezeshwa Simba na kuitwa Taifa stars kwa kiwango kipi?

Jibu ni hakuna mchezaji namba sita anayemshinda Nungunungu. Huyo Lwanga ni mirafu tu muda wote.
Nungunungu kazi yake ni kurudisha mpira nyuma au kupiga pasi za juu ambazo hazina madhara, muda wake umeisha, Simba ina kazi kubwa ya kusafisha hawa wazee, waende kula pension sehemu nyingine.
 
Huyo huyo ndio alikuwa top score.

Kama mnataka kumtoa tengenezeni Wafungaji wamzidi.
 
Nungunungu kazi yake ni kurudisha mpira nyuma au kupiga pasi za juu ambazo hazina madhara, muda wake umeisha, Simba ina kazi kubwa ya kusafisha hawa wazee, waende kula pension sehemu nyingine.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duh!!!
 
Kocha analetewa video vingi sana vya Boko ili tu ampange, na Mugalu toka apige penalt kule Kongo basi ameshinda moyo wa Simba na wamefunga nae ndoa za kilokole
 
Yaani hakuna mtu aliyeinyima simba ushindi mwingi kama Mugalu,halafu akawa kipenzi cha Pablo,Pablo ,Motorola na benchi love la ufundi wapishe,scouting team yote ifumuliwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…