Nawaza tu: Huenda Sabaya hatomaliza kifungo cha miaka 30

Mimi naamini ile hukumu Ni kiini macho tu.

Kwenye rufaa wanaenda kumtoa hao hao waliosema ashtakiwe.

Ni kesi tu ya kuwapoza wahanga wake machungu.

Tusubiri!
Kweli kabisa huenda ikawa hivyo.
Ngoja tusubiri tuone
 
Sawa lakini walau 7 ataimaliza ili ajifunze kwamba madaraka huwa ni dhamana tu..tena mbaya zaidi dhamana yake hiyo ilitoka kwa mtu ambaye na yeye kaiba kura.
 
Mahakama ya rufaa kumuachia mtu ni sekunde tu any proved legal doubt tayari mtu anachomoka na ukizingatia ile kesi ina vichochoro vingi sana vya kutokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…