Nawaza tu itokee hivi, kabla Yanga Vs Simba haijachezwa kama walivyosema Bodi, hapa katikati Simba adondoshe Point

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,224
Reaction score
4,472
Niwaambie tu Viongozi wa Simba mtakua na wakat Mgumu sana, ukweli ni kua Mashabiki wa Simba watawageuka vibaya Mno na vile hua hawakawii kusema muondoke muwaachie Team yao mtaona.

Ombeeni Match ipangwe mapema kabla ya kucheza Michezo yoyote ya Ligi,

Au muiotoe Al Masry ila mkatolewa CAF then mkaja mkadondosha point hata Kwa Droo tu kwenye Ligi,

Hivi unawaza kma Mimi Mashabiki watatoa KAULI ZIPI?na ukiangalia hapo kitakua na game sasa Vs Yanga😂😂

Mtaombea ya Match ya Jana ingechezwa.

So Kwa saiv kinachoenda kutaftwa ni nyie kudondosha point na Hilo litafanikiwa Nina 100% mtadondosha point either Draw au kufungwa.

Dominika Njema🇲🇽
 
Mashabiki wengi wa hiyo timu na viongozi wao ni mbumbumbu. Na yeyote aliyeunga mkono kususia kucheza mechi ya jana, ajitambue fika anaangukia kwenye hili kundi.
Umbumbumbu Uliamza 2021
 
Umbumbumbu Uliamza 2021
Na chanzo kilikuwa ni nini? Tukumbushane kwanza. Maana kuna timu ilifika kwenye ule mchezo kwa wakati sahihi na uliokuwepo kwenye ratiba, kabla ya wapuuzi wachache kuja na ratiba yao nyingine from nowhere!
 
Mashabiki wengi wa hiyo timu na viongozi wao ni mbumbumbu. Na yeyote aliyeunga mkono kususia kucheza mechi ya jana, ajitambue fika anaangukia kwenye hili kundi.
Unateseka hadi wa kuonewa huruma! Poleeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Mashabiki wengi wa hiyo timu na viongozi wao ni mbumbumbu. Na yeyote aliyeunga mkono kususia kucheza mechi ya jana, ajitambue fika anaangukia kwenye hili kundi.
manara anakusalimia🤣🤣.
yaani utaratibu uharibu ww lawama umpe mwwnzio .
tff walipobadili muda wa mechi mlikaza fuvu mkagoma kuja kucheza mkajificha kwenye kanuni.KARMA IS REAL.
leo yamewatokea nyie mnaanza kupiga kelele KUMBE INAUMA
 
Kwahiyo mmekubali mtacheza mechi tena dhidi ya Simba ikipangwa tar nyingne na bodi ya ligi?
Au mtacheza endapo tu simba atadondosha points kabla ya kukutana na Yanga?
Nyuma mwiko muwe na msimamo mmoja msituchanganye watani zenu mara mseme hamchezi hata iweje, mara na wewe nawe uandike mara Simba aangushe points kabla ya kucheza na Yanga tuelewe lipi?
Tarehe mpya ikipangwa na bodi ya ligi mtacheza au hamchezi??
 
Na chanzo kilikuwa ni nini? Tukumbushane kwanza. Maana kuna timu ilifika kwenye ule mchezo kwa wakati sahihi na uliokuwepo kwenye ratiba, kabla ya wapuuzi wachache kuja na ratiba yao nyingine from nowhere!
Kwahiyo mkapewa points 3 na magoli 3 kwa kufika muda sahihi??
 
Niwaambie tu Viongozi wa Simba mtakua na wakat Mgumu sana, ukweli ni kua Mashabiki wa Simba watawageuka vibaya Mno na vile hua hawakawii kusema muondoke muwaachie Team yao mtaona.

Ombeeni Match ipangwe mapema kabla ya kucheza Michezo yoyote ya Ligi,

Au muiotoe Al Masry ila mkatolewa CAF then mkaja mkadondosha point hata Kwa Droo tu kwenye Ligi,

Hivi unawaza kma Mimi Mashabiki watatoa KAULI ZIPI?na ukiangalia hapo kitakua na game sasa Vs Yanga😂😂

Mtaombea ya Match ya Jana ingechezwa.

So Kwa saiv kinachoenda kutaftwa ni nyie kudondosha point na Hilo litafanikiwa Nina 100% mtadondosha point either Draw au kufungwa.

Dominika Njema🇲🇽
Una hakika Yanga hawatadondosha point ?
 
Back
Top Bottom