THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Umbumbumbu Uliamza 2021Mashabiki wengi wa hiyo timu na viongozi wao ni mbumbumbu. Na yeyote aliyeunga mkono kususia kucheza mechi ya jana, ajitambue fika anaangukia kwenye hili kundi.
Na chanzo kilikuwa ni nini? Tukumbushane kwanza. Maana kuna timu ilifika kwenye ule mchezo kwa wakati sahihi na uliokuwepo kwenye ratiba, kabla ya wapuuzi wachache kuja na ratiba yao nyingine from nowhere!Umbumbumbu Uliamza 2021
Unateseka hadi wa kuonewa huruma! Poleeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mashabiki wengi wa hiyo timu na viongozi wao ni mbumbumbu. Na yeyote aliyeunga mkono kususia kucheza mechi ya jana, ajitambue fika anaangukia kwenye hili kundi.
Acha umbumbumbu binti.Unateseka hadi wa kuonewa huruma! Poleeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Wee em sema kwelii? [emoji23][emoji23][emoji23]Acha umbumbumbu binti.
manara anakusalimia🤣🤣.Mashabiki wengi wa hiyo timu na viongozi wao ni mbumbumbu. Na yeyote aliyeunga mkono kususia kucheza mechi ya jana, ajitambue fika anaangukia kwenye hili kundi.
Kwahiyo mkapewa points 3 na magoli 3 kwa kufika muda sahihi??Na chanzo kilikuwa ni nini? Tukumbushane kwanza. Maana kuna timu ilifika kwenye ule mchezo kwa wakati sahihi na uliokuwepo kwenye ratiba, kabla ya wapuuzi wachache kuja na ratiba yao nyingine from nowhere!
Una hakika Yanga hawatadondosha point ?Niwaambie tu Viongozi wa Simba mtakua na wakat Mgumu sana, ukweli ni kua Mashabiki wa Simba watawageuka vibaya Mno na vile hua hawakawii kusema muondoke muwaachie Team yao mtaona.
Ombeeni Match ipangwe mapema kabla ya kucheza Michezo yoyote ya Ligi,
Au muiotoe Al Masry ila mkatolewa CAF then mkaja mkadondosha point hata Kwa Droo tu kwenye Ligi,
Hivi unawaza kma Mimi Mashabiki watatoa KAULI ZIPI?na ukiangalia hapo kitakua na game sasa Vs Yanga😂😂
Mtaombea ya Match ya Jana ingechezwa.
So Kwa saiv kinachoenda kutaftwa ni nyie kudondosha point na Hilo litafanikiwa Nina 100% mtadondosha point either Draw au kufungwa.
Dominika Njema🇲🇽
Yanga ĺabda ya GambiaUna hakika Yanga hawatadondosha point ?
SawaYanga ĺabda ya Gambia
Fyuzi hukatika kichwani kwa mambo tofauti tofauti. Usikute wewe unakatika fyusi kisa mibange etc, na mwingine anakatika fyuzi kisa Yanga na Simba. lakini mwisho wa siku wote hamna fyuzi..!!Ukishabikia sana Simba na Yanga kuna Fyuzi zinakata kichwani