Nawaza tu siku raisi wa Muungano ametokana na mgombea huru

Nawaza tu siku raisi wa Muungano ametokana na mgombea huru

mandokwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
620
Reaction score
865
Wanajamvi nawaza tu hadharani huenda wakatokea wenye maono wakanisaidia: Nafanya some permutation ya marais wetu watatu


najua kuna wagombea huru/binafsi, ccm, chadema, cuf

  1. tanganyika (binafsi) , muungano (binafsi), zanzibar (binafsi)
  2. tanganyika (chadema), muungano (ccm), zanzibar (cuf)
  3. tanganyika (chadema), muungano (binafsi), zanzibar (cuf)
  4. tanganyika (ccm), muungano (chadema), zanzibar (binafsi)
  5. tanganyika (ccm), muungano (cuf), zanzibar (cuf)
  6. tanganyika (chadema) , muungano (chadema), zanzibar(chadema)
  7. tanganyika (ccm), muungano (ccm), zanzibar (ccm)
  8. tanganyika (cuf), muungano (cuf), zanzibar (cuf)
  9. tanganyika (cuf), muungangano (chadema), zanzibar (ccm)
  10. tanganyika (ccm), muungano (chadema), zanzibar(chadema)

etc..

Please help me to figure:-
  1. what combinations are likely to occur?
  2. make a wish on your combination?
  3. do you see tanzania benefiting from these setups or tutarudi nyuma social economically?
  4. what combination wont happen easily?

best wishes!!
 
haijalishi
wakishapata ulaji huwa wanaelewana tu sana
kama ishu za posho na wabunge
haina vyama
wote wanataka iongezwe
 
Unajua mtu anapokaribia kufa kunakuwa na njia nyingi mpka mtu afe, kwa mfano wengine wanatapatapa, wengine wanalala usingizi wa wa moja kwa moja tu kama Kenyatta, wengine wanatoa macho na kutumia nguvu sana huku na kule.

Mie nadhani Tume inajua fika kwamba jamaa hawataelewana hivyo hatua inayofuata ni kuvunjika kwa Muungano. Hapo ndo Zanzibar watakapotulipa bill ya Umeme wetu, na kama wakishangaa jamaa watawakatia kama tunavyokatiwa walala hoi wa Manzese,Buguruni na Mianzini
 
CCM wapinga sehemu kubwa ya rasimu

Wasema Spika lazima atokane na chama cha siasa
Waonya baraza la mawaziri kutambuliwa kikatiba,wadai ni kumbana Rais waliempa madaraka kamili ila wapendekeza wasiwe wabunge
Waelezea wasiwasi wa mgombea binafsi,wampinga ngazi zote kuepusha mgongano wa kimaslahi na vyama vya siasa
Wasema serikali tatu zitawagharimu katika uchaguzi,Mwigulu aelezea kimbunga kilichomkuta Arusha asema hana hamu na mabadiliko
Wapinga kufutwa viti maalum

source mwanakamati wa karibu
 
haijalishi
wakishapata ulaji huwa wanaelewana tu sana
kama ishu za posho na wabunge
haina vyama
wote wanataka iongezwe
Laposho (na mishahara) umenena. Tunaona hata Kenya wenye Katiba mpya iliyounda Tume mahsusi inayopanga mishahara ya watumishi wote wa umma wameungana mkono kujitetea maslahi yao!
 
Back
Top Bottom