Kennethmhaiki
Member
- Feb 21, 2013
- 64
- 37
Kwa muda mrefu sasa, tumekuwa tukichukua wachezaji wengi wa nje kuja kucheza ndani kuliko sisi tunavyochukuliwa kwenda nje, je hii ina maana kuwa hata sisi wachezaji viwango vyetu ni duni au ni lack of network na hao mawakala...