Miaka hii miwili ongezeko la watanzania kwenda nje pia limeshamiri;
Ukiachana na vingine ligi ya bongo inalipa vizuri na ina ushindani pia. Hata kwenye ubura wa ligi na vilabu sasa tupo nafasi ya 12 tumeyazidi mpaka mataifa kama Cameroon, ivory coast , Ghana nk. Kwa ubora wa ligi na hata maslah.
Kwaiyo tusiji dharau sana