Nawazo la kufanya biashara congo

Joined
Dec 3, 2016
Posts
36
Reaction score
18
Kwa muda sasa nimekuwa nawaza biashara ya kufavya nikaona biashara ya dagaa inaweza kuwa nzuri kuchukua dagaa mwanza au bukoba unapereka congo na kule unaweza kuchukua vitenge na kuja nanyo huku na miji ambayo nafikilia kwenda ni Bukavu au goma,, kama kuna mwenye kuelewa vizuri mazigira ya kule naomba anijuze ,, Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…