eheheeeebreakfast gani wataka kumpa?pole sana mkuu, ngoja name nikualike breakfast. karibu tunywe kahawa na mihogo. . .
wewe si huwa unariiiinga
badala ya kutembelea thread za kukupa raha mjini ,wewe unavizia vizia tu kuwapa watu ban huko jukwaa la siasa..siasa bongo bwana
siasa nyerere alishindwa yupo wapi sasa?
toka huko njoo ule raha za dunia mitaa ya mmu na chitchat mkuu?
BUT nitarudia offer wiki ijayo stay tuned!
eheheeeee ngoja nimpm nimefulia kweli leoUkiona mtu mzima analia jua kuna jambo, think twice bibie tehe tehe,
Wala huyo hana jibu; jibu lipo kwenye kila post ninayoandika kwenye huu uzi! #JustSayingngoja niombe ushauri kwa lara 1!
Sadly hata wewe hujagundua kitu #JustSayingMkuu Invisible punguza u busy kwenye jukwaa la stress!
Wala huyo hana jibu; jibu lipo kwenye kila post ninayoandika kwenye huu uzi! [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=JustSaying]#JustSaying [/URL]
Sadly hata wewe hujagundua kitu #JustSaying
ndo ki nini tena hiki?Sadly hata wewe hujagundua kitu #JustSaying
eheheeeebreakfast gani wataka kumpa?
anataka kitumbua na chai ya asali