Hahahahaaa charminglady unatakiwa ulie kwanza then mkinyamaza ndio unawauliza mbona wanalia? Heheheheeeeeteh teh. . . nyie ndo wale wale mkikuta watu wanalia nanyi mwaanza kulia bila kujua wanalilia nini. . . .
teh teh. . . nyie ndo wale wale mkikuta watu wanalia nanyi mwaanza kulia bila kujua wanalilia nini. . . .
..N'tafute baada ya kazi........Noo baada ya muda wa kazi wa kawaida....Jioni.. Unajua Ndyofu wewe?
Kama hujui muulize Erickb52 au Filipo. Ukiona aibu waulize kina Blaki Womani Preta, Mungi, LiverpoolFC, PakaJimmy, marejesho na Mzee wa Rula.
Ndyofu ndio nini?
Kwa bahati mbaya mimi situmii kilevi mkuu.
mkuu icho kitu kinakaa kwenye kijumba cha kijani na finishing ya gold! Ukikipata utashangaa roho inavyopokea! Lol
Kwa bahati mbaya mimi situmii kilevi mkuu.
..N'tafute baada ya kazi........Noo baada ya muda wa kazi wa kawaida....Jioni.. Unajua Ndyofu wewe?
Hilo ndio swali nililokuuliza Meezy. Sikukwambia ukatumie kilevi.... You got me wrong.
Still we can meet, aren't we?

hahahahahah watu mmepinda nyie......umesahau pazia la gold