Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,442
Mmmwaaaaaaaaa tu yu Blaki Womani. Missing yu sana. Mpe Meezy ramani ya C63 kwa ajili ya Non-Alcoholic-Ndyofu!! Please.
Hahahahaaa charminglady unatakiwa ulie kwanza then mkinyamaza ndio unawauliza mbona wanalia? Heheheheeeee
kila kitu ni kilevi ukikitumia kupita kiasi...hata chakula cha wapendanao nacho ni kilevi au nacho hicho hutumiiiKwa bahati mbaya mimi situmii kilevi mkuu.
Mpaka sasa hata mlengwa Smile hajang'amua lengo la thread [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=JustSaying]#JustSaying [/URL]
charminglady, am on it
mmmh.....naona kama nimeelewa.....but #NotSure.......
[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=JustSaying]#JustSaying [/URL]
Mmmwaaaaaaaaa tu yu Blaki Womani. Missing yu sana. Mpe Meezy ramani ya C63 kwa ajili ya Non-Alcoholic-Ndyofu!! Please.
mzima wewe?? nakujulia hali tu, maana hata cjui nini kinaongelewa hapa!hahahaha mkuu mi nshagundua nikirudi ntakujuza... hata mimi nasikitika hiyo thread ya Smile hapa - wakunitoa wekend jamani sikuiona labda sababu ya mawenge.. Ngoja nivizie ijayo..
Guys what the hell is going on here? Invisible ondoa mabano utupunguzie thinking cracks, please.
Baada ya hayo nakutuma salaam zifuatazo ziwafikie wahusika;
Maxence Melo (Heshima kwako)Paw (Punguza hasira) Meezy Ukija A-Town tutafutane) Fang (Unarudi tena lini China?} Roulette (love ya vere mach baby)
Wengine wakaushie kwanza. #justsaying
Mungi inabidi mkutane mapema kusolve matatizo kabla hujalipukiwa na kitu chenye mlipuko
[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=justsaying]#justsaying ...........nawe jaribu pia[/URL]