Jiwe Linaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,736
- 2,138
Nilidhani vitu kama hivi ningekua wakwanza kujua, kama sio from Invisible at least from Meezy. [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=JustSaying]#JustSaying [/URL]
Nanuna...
Ni kweli mkuu, siyo kosa lake, lakini kila nikichungulia simwoni......lakini nikisharopoka mara namwona Paw huyoooo yupo shift ananinyemelea!!!!!
#justsaying
mzima wewe?? nakujulia hali tu, maana hata cjui nini kinaongelewa hapa!
Jiwe Linaloishi niaje aise Paw umemuona wapi na Roulette Invisible siku hizi hana makucha sana wala Maxence Melo nae makucha yamepungua
Nataka nimchokoze simba sharubu nione kama meno yake yanang'ata
#justsaying...........nawe jaribu pia
mkuu huku shwarii tu Paw sijamwona nasikia kawekwa unyumba #notsure ..... mmhh mkuu hata kama simba meno yake hayakati lakini kucha zake je.. kula maini hakuhitaji meno...
ukweli unauma eeh? #justsayingwe mathematics tutakutoa nundu hapa
https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=justsaying#justsaying ...........nawe jaribu pia
mzima wewe?? nakujulia hali tu, maana hata cjui nini kinaongelewa hapa!
Hahahaaaa kuonyesha hukukosea wakikuambia hivyo unafyatuka na likilio la juu mbaya yan unalipanua limdomooooo kwa sautiiiiiiiii hadi wote wanyamaze lol Blaki Womani miss you aisee!hahahahahaha Erickb52 unaweza lia alikuwa rafiki yako baada ya kilio unaambiwa mtoto mchanga
Jiwe Linaloishi niaje aise Paw umemuona wapi na Roulette Invisible siku hizi hana makucha sana wala Maxence Melo nae makucha yamepungua
Nataka nimchokoze simba sharubu nione kama meno yake yanang'ata
#justsaying...........nawe jaribu pia
nilikuja #nimezimika na wewe nikakuta #umezimika . #mlifika #salama ?. nlifurahi #kukutana nawe. #miammhh Smile yakweli hayo au majungu na masufuria ya Figganigga baada ya kukukosa?? #NotSure .......Mkuu sorry juzi naona ilikuwa juu kwa juu... hope mlibaki salama na tutakuja onana tena, Nashukuru japo matatizo ndio yametukutanisha wengi.
habari yako #mrembo ...remmy?.miaWeekend bado zipo mkuu Invisible....you can rearrange.
hivi hiyo daladala inaitwaje?. kesho ntaipanda nione inakuaje. ntashuka hapo maziwa. wewe je? miaMie buheri wa afya! Nipo nashangaa treni kuwa daladala.
hivi hiyo daladala inaitwaje?. kesho ntaipanda nione inakuaje. ntashuka hapo maziwa. wewe je? mia
karatibu mkuu! Hicho sio kilevi. Ni kinywaji ila ukibwia unalewa!