BABA Dillish
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,362
- 3,252
Looh angalia usije kufanywa Kama jamaa wa uhamiaji 🥴🥴🥴Wakuu naomba mrejeeTitle ya uzi Wangu huu mfupi sana.
Binafsi nahitaji kuonana Na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa muda muafaka na kwa uhakika zaidi juu ya ratiba zake za kikazi kabla sijafika .
Naogopa usumbufu wa kufika Ofisini kwake na kupewa jibu la kutokuwepo kwake. Nia yangu ni kuonana naye ana kwa ana.
Kwa watu wenye uzoefu naomba ushauri wenu wakuu kabla sijafika Dodoma nikitokea huku nilipo pembezoni mwa Nchi.
Achukue huu ushaurii,1. Mkuu vaa smart, kama unaweza kuwa na kaunda suti ivae.
2. Uwe mkakamavu na ujiamini waambie una ujumbe muhimu kwa katibu mkuu.
3. Wakikuuliza ni ujumbe gani , usiseme.
4. Wakikuuliza ni nani wewe sema una ujumbe muhimu
5. Kama unatoka serikalini kwenye taasisi sema natoka kwenye hiyo taasisi na nina ujumbe muhimu.
Utaingia tu !
Looh angalia usije kufanywa Kama jamawa
Ahsante mkuu. Nitayafanyia kazi yoteAchukue huu ushaurii,
Bila kusahau point # 3.
Pole kwa changamoto uliyonayo mkuu.
Walimfanyaje mkuu?Looh angalia usije kufanywa Kama jamaa wa uhamiaji 🥴🥴🥴
Ndio , wa shule za awali😂😂Wewe utakuwa ni mwalimu tu