Naweka 'koma' (,) JF Leo...


Kuna babu mmoja ana kashati kamechakaa Ndevu hanyoagi halaafu ni mchungaji humu jamii forums, naona kama ndio epewe hons ya Ubishi
 
safari njema!
Mungu akutangulie!
Ufike salama na urudi salama!

All the best!

My dear..nashukuru sana!
I will miss you though...
Basi nawe Mungu akulinde nirudipo nikukute salama...what joy it will be!
 
Tshasa mbona jamvi lipo popote au ndo location yako ya 'On my way to Heaven'! kama ndo huko nikupe salamu zangu bana.

Hahaha...safari ya huko bado inaendelea ila siyo inayonitoa hapa!
Na huko salamu hazipielekwi hivyo...unaweza kutuma mwenyewe...
Naenda mndenyi bana..kule mtsudu kapisa!!!
 
My dear huko unakoenda hakuna internet?

Internet iko ila matumizi ndo hakuna..tunaenda kufanya mchakato ipatikane wangu..
NITAKUMISS!!! sob sob sob...
 
Kuna babu mmoja ana kashati kamechakaa Ndevu hanyoagi halaafu ni mchungaji humu jamii forums, naona kama ndio epewe hons ya Ubishi
Hayaaa how did I forget Rev Fr Masanilo (hons)....hawa waligraduate pamoja na grade hiyo hiyo moja!
Ila nasikia dissertation yake ilikuwa very competitive only that Saint Ivuga alimzidi kwenye course work ya mwanzo!!!

PS: Senkyu my love..ndo maana ukaitwa ubavu wa pili...always there to compliment!!!
 

Daah, mkuu umenigusa sana bana! kama kweli unaondoka nitakumiss sana 4sure! Ni majukumu ya huku mashambani 2 kaka; kama yatavyokukamata wewe! KILA LA HERI KATIKA MAJUKUMU YA KUJENGA....!
 

Tonga mboa, undeshika uluendie kirumira.
 

Njoo basi niufungue huo moyo nijionee mie kilicho ndani..............(((sob sob sob)))
 
Mentor,
Safari ya Marangu, Kilema, Kirua Vunjo au wapi?
 
Mentor umekuwa kivutio kweli kwa topic yako, tena unatia huruma, kama vile kweli unaondoka, sema basi uchangiwe hata kalaptop si utakuwa unacharge hata pale kanisani au pale kwenye nyumba ya mwalimu manake naona uendako hata umeme hakuna.
 
Daah, mkuu umenigusa sana bana! kama kweli unaondoka nitakumiss sana 4sure! Ni majukumu ya huku mashambani 2 kaka; kama yatavyokukamata wewe! KILA LA HERI KATIKA MAJUKUMU YA KUJENGA....!

I really meant kuandika wote...ila kuna wadau wengi mmenigusa kweli..my stay in JF, if anything, has been but just fun, and educative.
Thanks to you, and you, and everyone else.
Shukrani kaka...mavuno tayari,..wacha tuelekeee Moshi tukavune kwanza na sie!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…