nawewe unaamini matokeo ya kidato cha sita yamechakachuliwa?

Ndengaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2014
Posts
7,831
Reaction score
14,259
Habari za sasa wana jf! Kiufupi hii kitu ya matokeo ya kidato cha sita kuchakachuliwa imenigusa sana hadi nikaamua kujoin jf ili niwezi kupost,,,,,,,inasikitisha sana watanzania kuhusisha elimu ya tz na siasa et eeh ccm wamechakachua ili kuwafurahisha wazazi na wanafunzi wenyewe ambao 100% ni 18+ (wapiga kura) na kuweza kuichagua ccm ivi umeshajaribu kufanya uchunguzi uyo aloipata io div 1 kaipataje? Sisi shuleni kwetu (same sec) matokeo ya mock kulikua kuna div 1 zaidi ya 30 sasa na ufaulu in general ulikua mkubwa kuliko huo wa necta ,,, waliopata div 1 ndo walewale walokua wanazipata toka kwenye monthly test mpaka annual exams kwaio uchakachuaji upo kuanzia mashuleni, kwenye kanda ehhh?! Haya sasa kuhusu grade mpya ivi umeshajiuliza kwaalipota 55 flat kwa mwaka jana ilikua ni ngapi ni c + c + c = point 9 ambayo ni div 1 vpi sasa ivi? Ni....b + b + b = 9 ambayo ni div 2 ya mwisho ,,,,jamanie hawa vijana wa syllabus mpya (pure ) wamefanya vizuri na wanastahili pongezi ....pole sana mlokua na one za 9 miaka ilopita ndo mnaongea sana kwani mnaona aibu baada ya kupata one ehee nakufanya sherehe mtaa mzima yaani peleka chet necta ukaaupdate kaka/dada io ni 2 ....namnaosema kua disco zitakua nyingi kwa first year wanaokuja sahau maana mapambano ndo kwanza yameanza ! Ondoa dhana potofu usiishi kwa mazoea et mwaka jana walikua ivi wamwaka uu mbona wakoivi eeh? Miaka ni tofauti, wanafunzi ni tofauti na mitihani pia ni tofauti na kwakumalizia tafuta mwalimu yeyote aliyoenda kusahisha mitihani io (hasa wa arts) atakwambia watu walivyopasua hadi waliisi watapandisha madaraja maana haijawahi kutokea ,,,,,,,,nukta
 
Changa La Macho Hilo! Walimu Walele, Ukosefu Wa Maabara Palepale, Changamoto Za Walimu Palepale Matokeo Ya Kishindo Namna Hii Yatoke Wapi!?!
 
Points zako nyingi sio VALID....kwa kutumia alama mgando au fixed grade range....55 flat ni div II point 12.....yaani DDD.....kama ilivyotumika mwaka 2012 na wala si CCC...kwa miaka mingine system ya alama ilikuwa FLEXIBLE GRADE RANGE ambayo ilitegemea ufaulu...fanya ANALYSIS tena na kachambue vizuri then rudi upya
 
mbona umekuja speed bwana mdogo..punguza mihemko weka hoja mezani tuijadili na sio maneno yakulishwa na ya kishashi uliyoandika hapa
 
. We pass mark ya acsee 2012. 55-65 ilikua grade c ,,,,ukipata c flat na 35 ya GS una div one ya pt 9 rahisi kama unakunywa maji
 
Ndo mtazamo wako? Asante.
 
Changa La Macho Hilo! Walimu Walele, Ukosefu Wa Maabara Palepale, Changamoto Za Walimu Palepale Matokeo Ya Kishindo Namna Hii Yatoke Wapi!?!

Wale wale ujumbe umefika lakini
 
Ki ukweli madogo wamejitaidi sana ata form four hawa madogo walipasua sana kuliko hao waliopitaa..na baada ya matokeo ya mwaka jana kua mabaya madogo walikaza uzi sana kama dogo langu tuh now ana two ya 8 lakini kwa mwaka wetu angekua na one safi tu..big up madogo kakazeni chuo a levo a chuo vitu tofauti.
 
Unamtazamo chanya watu kama wewe ndo tunawahitaji tanzania hii!
 
. We pass mark ya acsee 2012. 55-65 ilikua grade c ,,,,ukipata c flat na 35 ya GS una div one ya pt 9 rahisi kama unakunywa maji

D ilikuwa 45-54...C ilikuwa 65 -74.....tatizo inaishi bila facts..B ilikuwa 75-79 na A 80-100..matokeo hawajachakachua ila grades ni tofauti so points za kufananisha div ones za zamani na div 2 za sasa haipo sawa
 
Dogo anachekelea goli limepanuliwa kafunga kirahisi haiwezekan div1 zpande kutoka 300 mwaka jana mpaka div1 4000 mwaka huu kipi kilichofanyika mpaka matokeo yakabadlka kiasi hcho
 
Mbona hushangai kushuka gafla kutoka yale ya 2012 hadi ya 2013?
 
Dogo anachekelea goli limepanuliwa kafunga kirahisi haiwezekan div1 zpande kutoka 300 mwaka jana mpaka div1 4000 mwaka huu kipi kilichofanyika mpaka matokeo yakabadlka kiasi hcho

Waliopata zero na four wanashida gani? Magoli yalipanuliwa kwa wa2 flani au hawakufaulu f4 ufafanuzi plz maana kuna zero zaidi ya 600
 
Mleta mada vvm umeongea point za msingi sana lakini tatizo kuna watu humu ambao miaka ya nyuma walikula EEF ndio wana hasira wakija lazima wakukosoe, Mimi ndugu yangu ni mwalimu na alinithibitishia kwamba ktk usahihishaji wanafunzi wa Arts wamefaulu sana kuliko mwaka jana, na kweli tumeshuhudia matokeo yakiwa hivyo sema tatizo watu wamekaririshwa kama kasuku kuja kukosoa jambo bila facts.
 
Last edited by a moderator:
Dogo anachekelea goli limepanuliwa kafunga kirahisi haiwezekan div1 zpande kutoka 300 mwaka jana mpaka div1 4000 mwaka huu kipi kilichofanyika mpaka matokeo yakabadlka kiasi hcho

Unapoandika huu utumbo wako usisahau pia kuleta na matokeo yako ili tuyapeleka NECTA tukaya-update uone kama hautakula FFS kwenye comb yako.
 
Ww wa ajabu matokeo yaliyompeleka chuo uyaupdate kwa system yenu yabadilike yawe FFS ongea fact siyo kuropoka
 
D ilikuwa 45-54...C ilikuwa 65 -74.....tatizo inaishi bila facts..B ilikuwa 75-79 na A 80-100..matokeo hawajachakachua ila grades ni tofauti so points za kufananisha div ones za zamani na div 2 za sasa haipo sawa

Poole hio mlitumia shuleni kwenu a.k.a xul za vichochoroni uo mfumo haukuwahi kutumiwa kwa mwaka jana wala juzi ,,,,uliletwa lakini haukutumika baadhi ya school tu ndo wanaoutumia mfano mzumbe pale na same boys kuanzia mwaka huu ila sio nectawise sorry
 
Ww wa ajabu matokeo yaliyompeleka chuo uyaupdate kwa system yenu yabadilike yawe FFS ongea fact siyo kuropoka

Acha kutoa povu kama nguchiro, toa no# yako ya mtihani tu-update kwa grade za sasa NECTA uone kama hautaenda kuanza upya QT.
 
Back
Top Bottom