Ndengaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,831
- 14,259
Habari za sasa wana jf! Kiufupi hii kitu ya matokeo ya kidato cha sita kuchakachuliwa imenigusa sana hadi nikaamua kujoin jf ili niwezi kupost,,,,,,,inasikitisha sana watanzania kuhusisha elimu ya tz na siasa et eeh ccm wamechakachua ili kuwafurahisha wazazi na wanafunzi wenyewe ambao 100% ni 18+ (wapiga kura) na kuweza kuichagua ccm ivi umeshajaribu kufanya uchunguzi uyo aloipata io div 1 kaipataje? Sisi shuleni kwetu (same sec) matokeo ya mock kulikua kuna div 1 zaidi ya 30 sasa na ufaulu in general ulikua mkubwa kuliko huo wa necta ,,, waliopata div 1 ndo walewale walokua wanazipata toka kwenye monthly test mpaka annual exams kwaio uchakachuaji upo kuanzia mashuleni, kwenye kanda ehhh?! Haya sasa kuhusu grade mpya ivi umeshajiuliza kwaalipota 55 flat kwa mwaka jana ilikua ni ngapi ni c + c + c = point 9 ambayo ni div 1 vpi sasa ivi? Ni....b + b + b = 9 ambayo ni div 2 ya mwisho ,,,,jamanie hawa vijana wa syllabus mpya (pure ) wamefanya vizuri na wanastahili pongezi ....pole sana mlokua na one za 9 miaka ilopita ndo mnaongea sana kwani mnaona aibu baada ya kupata one ehee nakufanya sherehe mtaa mzima yaani peleka chet necta ukaaupdate kaka/dada io ni 2 ....namnaosema kua disco zitakua nyingi kwa first year wanaokuja sahau maana mapambano ndo kwanza yameanza ! Ondoa dhana potofu usiishi kwa mazoea et mwaka jana walikua ivi wamwaka uu mbona wakoivi eeh? Miaka ni tofauti, wanafunzi ni tofauti na mitihani pia ni tofauti na kwakumalizia tafuta mwalimu yeyote aliyoenda kusahisha mitihani io (hasa wa arts) atakwambia watu walivyopasua hadi waliisi watapandisha madaraja maana haijawahi kutokea ,,,,,,,,nukta