Naweza enda soma masterz online UK

Naweza enda soma masterz online UK

frozen

Senior Member
Joined
Aug 12, 2010
Posts
135
Reaction score
32
Habari wanajamii forumz, natamani kwenda kusoma masterz Uk au USA, nia yangu ni kusoma kwa njia ya online nikiwa huko, ili niweze kupata muda kufanya kazi ili niweze kumuda maisha ya huko na kulipa ada ya chuo, naomba ushauri km haya mambo yanawezekan au kama kuna best option, asanteni.
 
Inawezekana lakini masters za online ni za vihiyo!
Habari wanajamii forumz, natamani kwenda kusoma masterz Uk au USA, nia yangu ni kusoma kwa njia ya online nikiwa huko, ili niweze kupata muda kufanya kazi ili niweze kumuda maisha ya huko na kulipa ada ya chuo, naomba ushauri km haya mambo yanawezekan au kama kuna best option, asanteni.
 
Google London School of Business and Finance.

Si kweli kuwa online ni za Vihiyo afterall you have to concentrate than on compus students since you physically dont meet your lecturer and there is no way he/she can favour you.
 
ok, lengo langu ni kwenda UK au US. Na nikifika huko ndo nifanye masterz online ili kupata muda wa kufanya kazi . Sasa nawaza namna gani naweza kuiputa hii fulsa na kama inawezekana! Asante
 
Unaweza lakini kama unataka kwenda kama student haiwezekani kwasababu masharti ya viza ni uwe full time student
 
Back
Top Bottom