Habari wanajamii forumz, natamani kwenda kusoma masterz Uk au USA, nia yangu ni kusoma kwa njia ya online nikiwa huko, ili niweze kupata muda kufanya kazi ili niweze kumuda maisha ya huko na kulipa ada ya chuo, naomba ushauri km haya mambo yanawezekan au kama kuna best option, asanteni.