Asalaam wapendwa... naomba kuuliza.. nimefungua biashara ya kuuza maji na juice kwa jumla..ila ndio nipo kwenye mchakato wa kufatilia leseni.. sasa naweza kufungua kabla cjakamilisha leseni? Maana nafikiria km tra wakija labda watataka kunipiga fine... naomba mnijuze