Naweza endelea kufanya biashara kabla sijapata leseni?

sia1

Member
Joined
Mar 14, 2014
Posts
28
Reaction score
27
Asalaam wapendwa... naomba kuuliza.. nimefungua biashara ya kuuza maji na juice kwa jumla..ila ndio nipo kwenye mchakato wa kufatilia leseni.. sasa naweza kufungua kabla cjakamilisha leseni? Maana nafikiria km tra wakija labda watataka kunipiga fine... naomba mnijuze
 
Hii ni tz mkuu piga kazi leseni ije baadae haina tatizo
 
Asanteni sana.... basi nimefungua leo asubuhi nna wasi wasi kweli kweli ndio maana nimeuliza....
 
mi TRA nakuja hapo leo,ule wako
 
Tafuta pesa ya kulipia leseni kwanza
 
Mi huu mwaka wa saba sinaga leseni,mpaka nshasahaugi kwamba sina
 
ndugu yangu ni vyema ukafuata taratibu n a sheria za nchi ila fanya kwanza hiyo biashara uone ina faida au hasara huku ukiendelea kufuatilia leseni yako usitake makuu yakupate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…