mzeennikita
Member
- Aug 31, 2013
- 25
- 2
Maana ya huu msemo ni kuwa wakati unaposhindwa kumuamini mtu kuna taratibu za kufuata ili uweze kufanya biashara nae na mtu wa namna hiyo na si kumkimbia maana inawezekana Yule unamkwepa ndio anaefaa na Yule unahisi yuko sawa kumbe ndio adui hivyo huo msemo hapo unakufaa na mbali ya yote shirikiana kibiashara na yeyote Yule cha maana inatakiwa kuwepo na mikataba ya kisheria hata kama biashara ni ndogo.ni hayo tu! NAWEZA FANYA BIASHARA NA MTU YEYOTE NA SIPO TAYARI KUFANYA BIASHARA NA MTU YEYOTE