Naweza fanya biashara na mtu yeyote na sipo tayari kufanya biashara na mtu yeyote

mzeennikita

Member
Joined
Aug 31, 2013
Posts
25
Reaction score
2
Maana ya huu msemo ni kuwa wakati unaposhindwa kumuamini mtu kuna taratibu za kufuata ili uweze kufanya biashara nae na mtu wa namna hiyo na si kumkimbia maana inawezekana Yule unamkwepa ndio anaefaa na Yule unahisi yuko sawa kumbe ndio adui hivyo huo msemo hapo unakufaa na mbali ya yote shirikiana kibiashara na yeyote Yule cha maana inatakiwa kuwepo na mikataba ya kisheria hata kama biashara ni ndogo.ni hayo tu! NAWEZA FANYA BIASHARA NA MTU YEYOTE NA SIPO TAYARI KUFANYA BIASHARA NA MTU YEYOTE
 
  • Nimependa huu msemo. Unaukweli ndani yake kwa kadri ulivyotole ufafanuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…