Naweza fanya mtihani wa kidato cha sita kwa masomo ya Biology, Geography na Mathematics

Naweza fanya mtihani wa kidato cha sita kwa masomo ya Biology, Geography na Mathematics

AMOXYCILLIN

Member
Joined
Aug 31, 2014
Posts
17
Reaction score
1
Ndugu zangu naomba sana kwa aneyeelewa vizuri haya mambo anifahamishe. Nataka kufanya mtihani wa kidato cha sita. Nilimaliza form iv siku nyingi ila siku bahatika kuendelea.

Je naweza kusoma masomo matatu hata kama hayapo katika mpangilio wa kombi? kwa mfano biolgy, geography, mathematics, lengo langu mimi nipate principal mbili ili niwe na sifa za kwenda chuo.

Napenda sana ualimu katika hesabu au biology.

Natanguliza shukrani.
 
Ndugu zangu naomba sana kwa aneyeelewa vizuri haya mambo anifahamishe. Nataka kufanya mtihani wa kidato cha sita. Nilimaliza form iv siku nyingi ila siku bahatika kuendelea.

Je naweza kusoma masomo matatu hata kama hayapo katika mpangilio wa kombi?kwa mfano biolgy,geography,mathematics;; lengo langu mimi nipate principal mbili ili niwe na sifa za kwenda chuo.
Napenda sana ualimu katika hesabu au biology,,,
natanguliza shukrani.

unaweza ndio,lakini una pass za kukuwezesha kufanya mtihani wa kidato cha sita?
 
una sifa za kupewa mtihani wa kidato cha sita?
 
una sifa za kupewa mtihani wa kidato cha sita?

mkuu kuhsu sifa lbda kama zimebadilika,, lakini nina div.iii.23 form iv 2003.

Nina credit(c) nne za bios,english,kiswahil na bible knowledge mengine yote d
 
mkuu kuhsu sifa lbda kama zimebadilika,, lakini nina div.iii.23 form iv 2003.

Nina credit(c) nne za bios,english,kiswahil na bible knowledge mengine yote d

basi unaweza kusoma mbona,wala haina shida,but u need to work hard maana kdg najua utakua umeanza kusahau
 
basi unaweza kusoma mbona,wala haina shida,but u need to work hard maana kdg najua utakua umeanza kusahau

vipi lakini mkuu,,naskia matokeo yanatokaga kwa combination,,sasa yakwangu yatakuaje kwa kombi isiyojulikana?
 
hamna kitu kama hicho,mwaka huu nineona mtu amechanganya masomo hata hayana combi, mwaka jana mate wang alisoma chem, math na bio, ucwe na pressure kabisa.

Sema ukisoma shule za private watakubania but ukijisomea mwenyewe inawezekana kabisa.
 
vipi lakini mkuu,,naskia matokeo yanatokaga kwa combination,,sasa yakwangu yatakuaje kwa kombi isiyojulikana?

Usiwaze kuhusu kupata shule, huo ufaulu upo furesh na kama ni combination unaeza ukapiga hata CBG (private) na hapo kunahyo math yako unayoihitaji ikiwa ni somo la ziada.

Nakuambia shule haitasumbua kwasababu nimeona kunadogo aliwapigia math-B na kiswahili-C zilizobaki akazinyoosha D flat, yupo EGM safi na kichwani n mzima kuliko alivyokua form 4.
 
Mkuu siwezi kusoma shuleni coz tayari niko kazini ila ntakomaa tu na tuition za kitaa.
 
Back
Top Bottom