AMOXYCILLIN
Member
- Aug 31, 2014
- 17
- 1
Ndugu zangu naomba sana kwa aneyeelewa vizuri haya mambo anifahamishe. Nataka kufanya mtihani wa kidato cha sita. Nilimaliza form iv siku nyingi ila siku bahatika kuendelea.
Je naweza kusoma masomo matatu hata kama hayapo katika mpangilio wa kombi?kwa mfano biolgy,geography,mathematics;; lengo langu mimi nipate principal mbili ili niwe na sifa za kwenda chuo.
Napenda sana ualimu katika hesabu au biology,,,
natanguliza shukrani.
una sifa za kupewa mtihani wa kidato cha sita?
mkuu kuhsu sifa lbda kama zimebadilika,, lakini nina div.iii.23 form iv 2003.
Nina credit(c) nne za bios,english,kiswahil na bible knowledge mengine yote d
basi unaweza kusoma mbona,wala haina shida,but u need to work hard maana kdg najua utakua umeanza kusahau
vipi lakini mkuu,,naskia matokeo yanatokaga kwa combination,,sasa yakwangu yatakuaje kwa kombi isiyojulikana?
nadhani hazijabadilikamkuu kuhsu sifa lbda kama zimebadilika,, lakini nina div.iii.23 form iv 2003.
Nina credit(c) nne za bios,english,kiswahil na bible knowledge mengine yote d