Habari wadau nauliza kama naweza polish gari kuongeza ule mng'ao kama wa gari jipya (wax) kwa dar, ni garage gani nzuri na price kama ikiwezekana kujua au kama naweza nunua wax nika polish mwenywe.
Carwash nyingi wanafanya. Kuna moja ipo Mlimani City inaitwa Arusha carwash nadhani. Ofcoz utapigwa hela nyingi ila ungeweza ungenunua tu vifaa utafanya mwenyewe.